Nchini China, michezo ya bahati nasibu hupewa leseni na serikali na uendeshaji wake unategemea mfumo wa ufikiaji ulio mkali na uuzaji wa tiketi za bahati nasibu Hii mashine unavyoiona wamiliki ni Wachina, nimeiweka hapa kwa ajili ya wateja wangu wa vinywaji, wakija hapa wengine wanapata kinywaji, wengine wanacheza kamari maisha yanaendelea. K